News
Waziri Mkuu yupo mkoani Dar es Salaam kwa ziara ya kikazi ya siku mbili. Majaliwa alifikia uamuzi huo kutokana na uchunguzi uliofanywa na timu aliyoiunda kufuatilia tuhuma za ubadhirifu huo pamoja na ...
MKURUGENZI wa Kampuni ya Atlantic Micro Credit Ltd, Wendy Ishengoma (38) na wenzake watatu wamepandishwa kizimbani kwa tuhuma za kuendesha biashara ya upatu kinyume na sheria na kutakatisha fedha Sh.
Nchini DRC, Constant Mutamba, Waziri wa Sheria, amepingana na Mwanasheria Mkuu wa Serikali katika Mahakama ya Juu, Firmin Mvonde, jana, Jumanne, Juni 10, katika barua ambayo RFI imepata kopi.
Waziri Mkuu mpya wa Sudan Kamil Idris, amevunja serikali ya muda ya nchi hiyo, siku chache tangu aapishwe kushika wadhifa huo, shirika la habari la serikali SUNA liliripoti siku ya Jumapili.
Serikali ya Japani inapanga safari ya mpatanishi mkuu wa ushuru wa forodha wa nchi hiyo ambaye pia ni Waziri wa Uhuishaji Uchumi Akazawa Ryosei kwenda nchini Marekani kwa wiki ya tatu mfululizo ...
Mkuu wa haki za binadamu wa Umoja wa Mataifa ameitaka serikali ya Marekani kuondoa vikwazo ilivyoweka siku ya Alhamisi dhidi ya majaji wanne katika Mahakama ya Kimataifa ya Uhalifu (ICC).
Polisi bado wanachunguza kutoweka kwa mwandishi wa habari maarufu wa Tanzania Azory Gwanda ambaye alitoweka mwaka 2017, amesema Msemaji Mkuu wa Serikali ya Tanzania, Gerson Msigwa katika mkutano ...
Wizara hiyo pia inakubali maombi kuanzia Mei 30 kutoka kwa wauzaji wa rejareja wadogo na wa kati ya kununua mchele huo uliohifadhiwa na serikali. Jumla ya tani 80,000 zilizovunwa mnamo mwaka wa ...
Waziri Mkuu wa Israel Benjamin Netanyahu amesema kiongozi wa wanamgambo wa Hamas mjini Gaza Mohammed Sinwar ameuwawa. Mohammed Sinwar ni mdogo wake aliyekuwa kiongozi wa kundi hilo la Hamas Yahya ...
30.05.2025 30 Mei 2025. Baada ya miaka ya ukimya na kuishi uhamishoni, rais wa zamani wa DR Kongo, Joseph Kabila, amerudi tena nchini – na kurejea kwake kumeibua mjadala wa kisiasa katika taifa ...
Paityn Decker, 9; Evelyn Decker, 8; and Olivia Decker, 5 were found dead in Washington state on June 2. Police are searching for their father.
Washington residents’ median gross rent and utilities costs climbed 6% between 2022 and 2023, according to the latest census data, and 42% from 2017 to 2023.
Some results have been hidden because they may be inaccessible to you
Show inaccessible results