News

Jaji Mkuu, Masaju amesema amepokea kijiti hicho akiahidi kuendelea alipoishia Profesa Juma kwa kuhakikisha wanatenda haki kwa ...
Jaji Masaju anachukua nafasi ya Jaji Profesa Ibrahim Juma ambaye amestaafu rasmi. Kwa mujibu wa taarifa ya Ikulu kwa vyombo ...
Rais Samia Suluhu Hassan amemteua Jaji wa Mahakama ya Rufani, George Masaju kuwa Jaji Mkuu wa Mahakama ya Tanzania huku wadau wa masuala ya sheria wakizungumzia umahiri wake na mambo yanayomsubiri ...
Chadema kinakabiliwa na kesi ya mgogoro wa mgawanyo wa rasilimali usio sawa baina ya Bara na Zanzibar, upendeleo na ubaguzi ...
Makamu Mwenyekiti wa Chadema (Bara), John Heche ameeleza hayo wakati akizungumza na Watanzania kwa mtandao leo Juni 17, 2025 ...
Wataalamu wa haki za binadamu wa Umoja wa Mataifa wameitaka Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kusitisha mara moja ...
Mahakama Kuu ya Tanzania, Masjala Ndogo ya Dar es Salaam, imezuia kutajwa majina na mahali anapoishi, shahidi muhimu katika ...
Katika kesi hiyo ya ardhi namba 378/2023, Bernado ambaye ni msimamizi wa mirathi ya baba yao anapinga kunyang’anywa zawadi ya ...
Ikiwa kweli mihimili hii ingefanya kazi zake ipasavyo, leo hii Tanzania isingekumbwa na misukosuko ya kikatiba na kisiasa, ...
Mahakama ya Rufani imeelekeza ndani ya miezi 12 (mwaka mmoja) Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania lirekebishe kwa kufuta ...
DODOMA — Rais Samia Suluhu Hassan, amemteua Jaji wa Mahakama ya Rufani, George Mcheche Masaju, kuwa Jaji Mkuu wa Mahakama ya ...