News

Jeshi la Tanzania limewataka raia wanaoishi katika maeneo ya pori karibu na mpaka wa Msumbuji kuhama eneo hilo wakati wakijiandaa kupambana dhidi ya wanamgambo. BBC News, Swahili Ruka hadi maelezo ...
Askari Polisi mmoja ameuwa katika eneo la Loliondi Kaskazini mwa Tanzania kufuatia vurugu zinazoendelea kati ya Jeshi la Polisi na wananchi wa Loliondo ambao wamekuwa wakipinga kuondolewa kwenye ...
Jeshi la Polisi Mkoa wa Rukwa linawashikilia watu wawili kwa tuhuma za kumuua Sadick Sanga (52), kwa kumpiga na kitu kizito ...
Wanajeshi wa Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) wametumwa chini ya mwavuli wa Jumuiya ya Maendeleo ya Nchi za Kusini mwa Afrika , kambi ya kikanda inayofanya kazi mashariki mwa Jamhuri ...
Jeshi la Polisi Kanda maalum ya Dar es Salaam limewahakikishia usalama wananchi katika mechi ya Simba na Yanga inayotarajiwa ...
Mwalimu aliunda Jeshi la wananchi wa Tanzania lenye watalaamu lililokuwa mstari wa mbele katika ukombozi wa Afrika. Jeshi lina dhamana ya kulinda mipaka na usalama wa nchi yetu,”amesema Brigedia ...
Viongozi watatu wa serikali mkoani Kigoma nchini Tanzania wameuawa kwa kushambuliwa na wananchi kufuatia mzozo wa uhifadhi msitu.
Jeshi limekuwa likidai kuwa uchaguzi wa Novemba 2020 ulikuwa na undanganyifu. Jeshi la Myanmar limesema litailinda na kuifuta katiba ya nchi, tamko lilopunguza wasiwasi wa jeshi hilo kujaribu ...
Rais Samia Suluhu Hassan ameacha alama mkoani Arusha kwa kugawa mitungi ya gesi 528 na majiko yake kwa watumishi wa jeshi la magereza mkoani ili kuhamasisha matumizi ya nishati safi na salama nchini.
YANGA imefanikiwa kuzishinda mamlaka za mpira wa Tanzania...kuushinda mpira wa Tanzania. Kitendo cha kuwaangusha viongozi wa ...