Ugonjwa wa akili uko katika nafasi ya tatu katika orodha ya magonjwa yanayo waathiri wa Australia, magonjwa yanayo piku ugonjwa wa akili katika orodha hiyo ni saratani na ugonjwa wa moyo.